Makala Maalum inayiangazia uhifadhi na urithi wa Dunia katika Ikolojia ya eneo la Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro NCAA Karatu mkoani Arusha 

Makala hii inakuelezea mambo mbalimbali yanayopatikana katika Ikolojia hiyo ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro ikiwemo maajabu ya wanyama kuishi na binadamu katika eneo hilo.