Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kizimkazi wakati wa futari aliyowaandalia, Mkoa wa Kusini Unguja, 16 Machi, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi na wananchi wa Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, katika futari aliyowaandalia, tarehe 16 Machi, 2026.
Viongozi na wananchi wa Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, wakijumuika katika futari iliyoandaliwa na Rais Samia Suluhu Hassan, 16 Machi 2026.





