Naitwa Hadija, mkazi wa mkoa wa Tanga. Maisha yangu ya ndoa kwa miaka nane yalitawaliwa na simanzi na vilio vya kila usiku. Mume wangu, ambaye nilimpenda kwa dhati, alianza kunibadilikia na kuniambia kuwa kama sitabeba ujauzito ndani ya mwaka huo, basi nifunge virago niondoke kwani hawezi kuishi na “mwanamke asiyezaa”. Kauli hiyo iliniua kisaikolojia, nikaanza kukonda na kupoteza nuru ya uso wangu…. SOMA ZAIDI
MWANAMKE ALIYETISHIWA KUACHIWA NYUMBA SASA NI MAMA KIGOGO
By fullshangwe
March 14, 2026 | 11:13 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
44 minutes ago
AFRIKA YASISITIZWA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO ZA AMANI NA USALAMA
Nchi za Afrika zimesisitizwa kuimarisha ushirikiano wa kikanda na kimataifa katika kukabiliana na changamoto za amani na usalama zinazolikabili bara hilo, zikiwemo ugaidi, itikadi…
Mchanganyiko
1 hour ago
POLISI IRINGA WAPONGEZWA KWA KUREJESHA NIDHAMU, KUPUNGUZA UHALIFU NA KUBORESHA VITENDEAKAZI
Na Denis Mlowe MJUMBE wa Kamati Ndogo ya uhamasishaji vijana michezo utamaduni Sanaa wazazi CCM Taifa Joseph Mgongolwa kutoka Mkoa wa Iringa amempongeza Kamanda…