Naitwa Evelyne, mwalimu wa sekondari hapa mkoani Morogoro. Kwa miaka mingi, nimekuwa nikiishi kwa aibu ya ajabu; nimekuwa mtaalam wa kupoteza wachumba. Mara tatu mfululizo, nimevishwa pete, tukapanga tarehe, tukachagua hadi kumbi za harusi, lakini zikiwa zimebaki wiki mbili, mwanaume anapotea au anatoa sababu isiyo na mashiko na kuvunja mahusiano.
Hali hii ilinifanya nianze kuchekwa na wafanyakazi wenzangu, wakiniita “bibi harusi wa mazoezi.” Kila nikivaa vazi la harusi kwa ajili ya kupima, mambo yanaharibika. Nilihisi nina nuksi iliyokithiri……..SOMA ZAIDI
