Naitwa Beatrice, mwanamke ambaye kwa miaka mingi nimekuwa nikijitolea kwa moyo mweupe katika kazi yangu ya ualimu hapa nchini. Licha ya kuwa na sura ya upole na tabia ambayo kila mzazi angetamani mwanawe aoe, maisha yangu ya siri yalikuwa yamejaa maumivu makali.
Kwa zaidi ya miaka kumi, nimekuwa “malkia wa pete za uchumba.” Nina mkusanyiko wa pete nne tofauti ndani ya sanduku langu, zote nilipewa na wanaume walioahidi kunioa lakini kila harusi ilipokaribia, walikuwa wakitokomea kusikojulikana au kuanza vitimbwi visivyovumilika…. SOMA ZAIDI




