Mkurugenzi Utumishi Wizara ya Habari Sanaa na Utamaduni na Michezo Rashid Hamdu Makame akizungumza katika Mafunzo kwa Watendaji na Wadau Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo kuhusiana na Dawa za Kulevya hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.

Baadhi ya Watendaji na Wadau wa Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo waliohudhuria katika Mafunzo kwa Watendaji na Wadau Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo kuhusiana na Dawa za Kulevya hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.

Kamishna Utawala Raslimali watu na Mipango Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar Khamis Vuai Rajab akitoa hotuba ya makaribisho katika Mafunzo kwa Watendaji na Wadau Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo kuhusiana na Dawa za Kulevya hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.