Januari 28, 2026 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima katikati akiongoza kikao kazi kupokea taarifa na kutathmini utendaji kazi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo katika ukumbi wa mikutano FDC Kilosa.
Kikao kilichoshirikisha viongozi wakuu na wataalamu (SMT) kimehudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Kilosa hiyo Shaka Hamdu Shaka, Katibu Tawala wa Mkoa Mussa Ali Mussa, Mwenyekiti wa Halmashauri, Katibu Tawala wilaya pamoja RS ya mkoa Morogoro.

