Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein katika makazi yake Unguja, Zanzibar, leo tarehe 03 Januari 2026.

MAKAMU WA RAIS DKT. NCHIMBI AMTEMBELEA DKT. SHEIN RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR
