Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (aliyevaa miwani),akishiriki kupokea mwili wa Marehemu Bi. Leah Elisha Mwangalimi katika Kijiji cha Kisokwe, wilaya ya Mpwapwa, mkoani Dodoma akiwa njiani kuelekea kwenye ziara ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ambapo anatarajiwa kufanya ziara leo, katika Kituo cha Stesheni ya Mwendokasi Gulwe.

WAZIRI SIMBACHAWENE ASHIRIKI KUPOKEA MWILI WA MARAHEMU MWANGALIMI KISOKWE MPWAPWA
