Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Mfumo wa e-Wekeza utakaomuwezesha Mtumishi wa Umma kuwekeza katika Mfuko wa Faida, alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Wiki ya Utumishi Umma kwenye viwanja vya Chinangali jijini Dodoma, Juni 23, 2025. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WAZIRI MKUU AZINDUA MFUMO WA E-WEKEZA
By fullshangwe
June 23, 2025 | 3:33 pm

Related Stories
View all
Mchanganyiko
2 hours ago
DKT. MWIGULU ASHIRIKI IBADA YA KUMUOMBEA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE, SUMBAWANGA
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Oktoba 14, 2026 ameshiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbulizi ya Hayati Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa…
Mchanganyiko
2 hours ago
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA YA KUMUOMBEA BABA WA TAIFA MWL. JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi ameshiriki Ibada ya Misa Takatifu ya kumuombea Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu…