Kikao Maalum cha Tume ya Taifa ya Mipango kilichofanyika leo tarehe 18 Juni 2025 chini ya Makamu Mwenyekiti Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (Mb.) na kuhudhuliwa na wajumbe wa Tume hiyo Katika Ukumbi wa Mikutano wa jengo la Mkandarasi jijini Dodoma.
Kikao hicho cha Tume kimejadili rasimu ya Dira 2050 na Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu (LTPP).