Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais -TAMISEMI Mhandisi Rogatus Mativila leo tarehe 10 Juni, 2025 amefungua Mafunzo ya Awamu ya Pili yanayoendelea mkoani Dodoma kwa Makatibu Tawala Wasaidizi Sehemu ya Mipango na Uratibu na Uchumi na Uzalishaji, Wakuu wa Idara za Mipango na Uratibu na Waweka hazina wa Halmashauri.
Mafunzo hayo yenye lengo la kuhusu uendeshaji na usimamizi wa Miradi ya maendeleo katika maeneo yao.