Mwanamke mmoja amejikeza kwenye mitandao ya kijamii kueleza jinsi alivyovunjika moyo baada ya kumsaidia mpenzi wake katika maandalizi ya kumlipia mahari lakini siku ya tukio lenyewe hakutokea. Akitambuliwa kama Mamiena, mwanamke huyo alifichua jinsi alivyompatia kiasi cha Sh10 milioni ili kumsaidia mwanaume wake kulipa mahari hiyo kwa familia yake. “Ebu fikiria tayari tulikuwa tumepika, tumetayarisha […]……… SOMA ZAIDI
MWANAMKE ALIYETAKA KUJILIPIA MAHARI ATAPELIWA MILIONI 10
By fullshangwe
May 23, 2025 | 5:03 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
60 minutes ago
SERIKALI YATAKA MIRADI YA MAJI IENDANE NA THAMANI YA FEDHA
Watendaji wa Sekta ya Maji wametakiwa kusimamia miradi inayotekelezwa iendane na thamani ya fedha. Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Kundo Andrea Mathew (Mb)…
Mchanganyiko
1 hour ago
WAZIRI MKUU ASHIRIKI IBADA KANISA KUU ANGLIKANA – UINGEREZA
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumapili, Oktoba 11, 2026 ameshiriki ibada katika Kanisa Kuu la Anglikana la Mtakatifu Paulo, jijini London, Uingereza. Ibada…