Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mudrik Ramadhan Soraga kushoto akiwa pamoja na Balozi wa Heshima wa Brazil Abdulsamad Abdurahim wakionesha Jezi ambayo itatumika katika (MACH OF THE LEGEND)Mechi ya Magwiji wa soka Kutoka Brazil na Zanzibar katika Uzinduzi wa Mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa katika Uwanja wa Aman Komplex 27 Julay 2025 saa 2: Usiku hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wakimataifa Zanzibar.
Vijana wenye Vipaji wakionesha Uwezo wao wa kuchezea Mipira katika hafla ya Uzinduzi wa (MACH OF THE LEGEND)Mechi ya Magwiji wa soka Kutoka Brazil na Zanzibar katika Mchezo unaotarajiwa kuchezwa katika Uwanja wa Aman Komplex 27 Julay 2025 saa 2: Usiku hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wakimataifa Zanzibar.
Baadhi ya Wageni Waalikwa waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa (MACH OF THE LEGEND)Mechi ya Magwiji wa soka Kutoka Brazil na Zanzibar katika Mchezo unaotarajiwa kuchezwa katika Uwanja wa Aman Komplex 27 Julay 2025 saa 2: Usiku hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wakimataifa Zanzibar.
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mudrik Ramadhan Soraga kushoto akibadilishana Mawazo na Rais wa Klabu ya Yang African Injinia Hersi Said katika hafla ya Uzinduzi wa (MACH OF THE LEGEND)Mechi ya Magwiji wa soka Kutoka Brazil na Zanzibar unaotarajiwa kuchezwa katika Uwanja wa Aman Komplex 27 Julay 2025 saa 2: Usiku hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wakimataifa Zanzibar.
Balozi wa Heshima wa Brazil Abdulsamad Abdurahim akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa (MACH OF THE LEGEND)Mechi ya Magwiji wa soka Kutoka Brazil na Zanzibar katika Mchezo unaotarajiwa kuchezwa katika Uwanja wa Aman Komplex 27 Julay 2025 saa 2: Usiku hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wakimataifa Zanzibar.
Baadhi ya Wageni Waalikwa waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa (MACH OF THE LEGEND)Mechi ya Magwiji wa soka Kutoka Brazil na Zanzibar katika Mchezo unaotarajiwa kuchezwa katika Uwanja wa Aman Komplex 27 Julay 2025 saa 2: Usiku hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wakimataifa Zanzibar.
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mudrik Ramadhan Soraga akitoa hotuba ya Uzinduzi wa (MACH OF THE LEGEND)Mechi ya Magwiji wa soka Kutoka Brazil na Zanzibar katika Mchezo unaotarajiwa kuchezwa katika Uwanja wa Aman Komplex 27 Julay 2025 saa 2: Usiku hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wakimataifa Zanzibar.
Rais wa Klabu ya Yang African Injinia Hersi Said akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa (MACH OF THE LEGEND)Mechi ya Magwiji wa soka Kutoka Brazil na Zanzibar unaotarajiwa kuchezwa katika Uwanja wa Aman Komplex 27 Julay 2025 saa 2: Usiku hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wakimataifa Zanzibar.
Msemaji wa Klabu ya Yang African Ali Shaaban Kamwe akizungumza kuhusiana na mambo yatakayofanyika katika Mchezo wa Magwiji wa soka Kutoka Brazil na Zanzibar unaotarajiwa kuchezwa katika Uwanja wa Aman Komplex 27 Julay 2025 saa 2: Usiku hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wakimataifa Zanzibar.
Warembo wa Zanzibar wakionesha Vazi la Kizanzibari litakalovaliwa katika Mapokezi ya Magwiji wa Soka kutoka Brazil katika hafla ya Uzinduzi wa (MACH OF THE LEGEND)Mechi ya Magwiji wa soka wa Brazil na Zanzibar unaotarajiwa kuchezwa katika Uwanja wa Aman Komplex 27 Julay 2025 saa 2: Usiku hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wakimataifa Zanzibar.