Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasili Mkoani Iringa ambapo anatarajia kushiriki Maadhimisho ya Miaka Ishirini ya Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) yanayofanyika leo tarehe 14 Mei 2025 katika Viwanja vya Chuo hicho.