WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe. Ali Suleiman Ameir (Mrembo) akizungumza na Kaimu Balozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Mhe. Abdallah Al Kashami, mazungumzo hayo yaliyofanyika Ofisini Kwake Ikulu Zanzibar, kabla ya kukabidhiwa msaada wa tende iliyotolewa na Mfalme wa Saudi Arabia.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Ali Suleiman Ameir (Mrembo) akikabidhiwa msaada wa Tende iliyotolewa na Mfalme wa Saudi Arabia, akikabidhiwa na Kaimu Balozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Mhe. Abdallah Al Kashami na (kulia kwake) Mwakilishi wa Kituo cha Mfalme wa Saudi Arabia “King Salman Humanitarian Aid & Relief Center”, Bw. Homod Al Sadun na (kushoto kwa Waziri) Katibu Mkuu Afisi ya Rais Ikulu Ndg.Saleh Juma Mussa.(Picha na Ikulu)