Picha mbalimbali zikimuonyesha Kamishna wa Fedha na Lojistiki wa Jeshi la Polisi, CP Liberati Sabas pamoja na wajumbe wakiwasili katika ukumbi wa Shule ya Polisi Tanzania TPS – Moshi mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kufunga kikao kazi cha Maafisa Wanadhimu na Wahasibu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Mikoa, Vikosi na Vyuo leo Machi 15,2025.