Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Amali Makomelo wilayani Nzega mkoa wa Tabora, Machi 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Amali Makoelo wilayani Nzega, Machi 13, 2025. Wa tatu kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Sikonge na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Cornel Lucas Magembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Wilaya ya Nzega, Mhandisi Issa Mwalimu kuhusu ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Amali Makomelo baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa shule hiyo mkoani Tabora, Machi 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Wazirin Mkuu)