RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi azungumza na Ujumbe wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu,Sayansi na Utamaduni (UNESCO) uliongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi. Audrey Azoulay (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-3-2025 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Kitabu maalumu na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi.Audrey Azoulay, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi.Audrey Azoulay, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi.Audrey Azoulay, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akibadilisha mawazo na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi.Audrey Azoulay, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-3-2025 na (kulia kwa Rais) Balozi wa Tanzania Nchini Ufaransa Mhe.Ali Jabir Mwadin na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)