MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wassira Akiwasili katika Ukumbi wa CMG Kuzungumza na Viongozi pamoja na wanachama wa CCM Wilaya ya Tarime, Leo Februari 08, 2025
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wassira Akizungumza na Viongozi na wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Tarime, Katika Ziara yake ya kuimarisha chama Mkoani Mara.