Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Bonanza la Madini linaloshirikisha Wizara ya Madini na Taasisi zake linaloendelea katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya John Merlini jijini Dodoma.
*Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali