Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari, Bungeni jijini Dodoma Februari 7.2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo, Bungeni jijini Dodoma, Februari 7.2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu, Bungeni jijini Dodoma, Februari 7.2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Sumbawanga Mjini, Aeshi Hilaly, Bungeni jijini Dodoma Februari 7.2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipeana mkono na Mbunge wa Igunga Nicholaus Ngasa, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Februari 7.2025. Katikati ni Mbunge wa Chato, Dkt. Medard Kalemani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kalambo Josephat Kandege kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Februari 7.2025. Katikati ni Mbunge wa Chato, Dkt. Medard Kalemani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mtwara Mjini Hassan Mtenga kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Februari 7.2025. Katikati ni Mbunge wa Chato, Dkt. Medard Kalemani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kibiti Twaha Mpembenwe kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Februari 7.2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)