Mkuu wa Mkoa wa Kusini Ayoub Mohamed Mahmoud akisalimiana na Muakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mwalim Dokta Haroun Ali Suleiman na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Dua Maalum ya kuwaombea Viongozi walioko madarakani na Wazee waliotangulia Mbele ya haki hafla iliofanyika Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Ayoub Mohamed Mahmoud (katikati)akiwa pamoja na Muakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mwalim Dokta Haroun Ali Suleiman na Viongozi mbalimbali katika Dua Maalum ya kuwaombea Viongozi walioko madarakani na Wazee waliotangulia Mbele ya haki hafla iliofanyika Katika Msikiti wa Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Ayoub Mohamed Mahmoud (katikati)akiwa pamoja na Muakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mwalim Dokta Haroun Ali Suleiman (Kushoto)na Sheikh wa Kibuteni katika Dua Maalum ya kuwaombea Viongozi walioko madarakani na Wazee waliotangulia Mbele ya haki hafla iliofanyika katika Msikiti wa Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja.
Sheikh Kutoka Kizimkazi Hassan Omar Khatibu akiongoza Dua ya kuwaombea Viongozi walioko madarakani na Wazee waliotangulia Mbele ya haki hafla iliofanyika Katika Msikiti wa Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja.
Muakilishi wa Jimbo la Makunduchi ambae pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Mwalim Dokta Haroun Ali Suleiman akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu waliohudhuria katika Dua Maalum ya kuwaombea Viongozi walioko madarakani na Wazee waliotangulia Mbele ya haki hafla iliofanyika Katika Msikiti wa Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja.
Mbunge wa Jimbo la Mpendae Tawfik Salum Turky akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu waliohudhuria katika Dua Maalum ya kuwaombea Viongozi walioko madarakani na Wazee waliotangulia Mbele ya haki hafla iliofanyika Katika Msikiti wa Kibuteni Mkoa wa Kusini Un
guja.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Ayoub Mohamed Mahmoud akizungumza na Waumini wa Dini ya kiislamu kuhusiana na Umoja Upendo na Kudumisha Amani na Utulivu katika hafla ya Dua Maalum ya kuwaombea Viongozi walioko madarakani na Wazee waliotangulia Mbele ya haki hafla iliofanyika Katika Msikiti wa Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja.