Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na Wataalamu kutoka Shirika la Sick Kids International la nchini Canada walipotembelea taasisi hiyo hivi karibuni kwaajili ya kuangalia namna ambavyo watashirikiana na JKCI katika kutoa huduma za kibingwa za matibabu ya moyo kwa watoto.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akiwa katika picha ya pamoja na Wataalamu kutoka Shirika la Sick Kids International la nchini Canada walipotembelea taasisi hiyo hivi karibuni kwaajili ya
kuangalia namna ambavyo watashirikiana na JKCI katika kutoa huduma za kibingwa za matibabu ya moyo kwa watoto.
Wataakamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja na Wataalamu kutoka Shirika la Sick Kids International la nchini Canada walipotembelea taasisi hiyo hivi karibuni kwaajili ya kuangalia namna ambavyo watashirikiana na JKCI katika kutoa huduma za kibingwa za matibabu ya moyo kwa watoto.