Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mhe. Dkt. Hassan Sheikh Mohamud leo kwenye makazi yake Ikulu, Jijini Dar es salaam leo tarehe 29, Januari 2025.
RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA SOMALIA
