Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla akisalimiana na Viongozi mbalimbali wakati akiingia katika Ukumbi wa Golden Tulip kwa ajili ya Ufunguzi wa Kongamano la miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanizbar lililofanyika katika Ukumbi huo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abed Karume Zanzibar.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ,yakiwa na Kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi:Amani ,Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Baadhi ya Wageni Waalikwa waliohudhuria katika hafla ya Ufunguzi wa Kongamano la miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar lililofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abed Karume Zanzibar.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ,yakiwa na Kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi:Amani ,Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.

Mwenyekiti wa Kamati tendaji ya Wakuu wa Taasisi a Umma Latifa Khamis akitoa taarifa ya Kamati katika hafla ya Ufunguzi wa Kongamano la miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar lililofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abed Karume Zanzibar.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ,yakiwa na Kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi:Amani ,Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Katibu Mkuu wizara ya Biashara Maendeleo ya Viwanda Fatma Mbarouk Khamis akizungumza katika hafla ya Ufunguzi wa Kongamano la miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar lililofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abed Karume Zanzibar.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ,yakiwa na Kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi:Amani ,Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Omar Said Shaaban akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika hafla ya Ufunguzi wa Kongamano la miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar lililofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abed Karume Zanzibar.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ,yakiwa na Kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi:Amani ,Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.