Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mudrik Ramadhan Soraga (kulia)akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara za Bumbwini Skuli-Kiongwe 4.30 km hafla iliofanyika Bumbwini Mafufuni Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Katika Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.yenye Kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani ,Umoja na Mshikamano kwa maendeleo yetu.
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mudrik Ramadhan Soraga (katikati)akikata Utepe kuashiria Uzinduzi wa Barabara za Bumbwini Skuli-Kiongwe 4.30 km hafla iliofanyika Bumbwini Mafufuni Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Katika Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.yenye Kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani ,Umoja na Mshikamano kwa maendeleo yetu.
Baadhi ya Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara za Bumbwini Skuli-Kiongwe 4.30 km hafla iliofanyika Bumbwini Mafufuni Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Katika Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.yenye Kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani ,Umoja na Mshikamano kwa maendeleo yetu.
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mudrik Ramadhan Soraga akitoa hotba ya Uzinduzi wa Barabara za Bumbwini Skuli-Kiongwe 4.30 km hafla iliofanyika Bumbwini Mafufuni Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Katika Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.yenye Kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani ,Umoja na Mshikamano kwa maendeleo yetu.
Baadhi ya Wananchi mbalimbali na Wafanyakazi waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara za Bumbwini Skuli-Kiongwe 4.30 km hafla iliofanyika Bumbwini Mafufuni Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Katika Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.yenye Kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani ,Umoja na Mshikamano kwa maendeleo yetu.