2024
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MAJALIWA: RAIS DKT. SAMIA NI KIELELEZO CHA MAFANIKIO NCHINI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amekuwa kielelezo cha mafanikio…
TAG MWENGE YATOA TUZO MAALUM KWA RC CHALAMILA
Tanzania Assemblies of God (TAG) Mwenge Christian Center ( MCC) kupitia hafla ya mkesha wa mwaka mpya 2024 imetoa Tuzo ya Heshima kwa Mkuu…
NGO’s ,VITUO VYA WATOTO YATIMA VYATUHUMIWA KUTAFUNA FEDHA ZA MISAADA
Mgeni rasmi wa half ya chakula cha watoto yatima, Mkuu wa Idara ya Falsafa na Maadili,Chuo Kikuu cha Mtakafifu Agostino (SAUT) Mwanza,Padri Dr.Innocent Sanga(wa…
TGNP YATOA MAFUNZO YA UFEMINIA KUIJENGEA UWEZO JAMII MKOANI KILIMANJARO
Na Ashrack Miraji Same kilimanjaro Mwezeshaji ngazi ya jamii kutoka TGNP Stella John Amesema mafunzo hayo yanayotolewa kwa vituo vya taarifa na Maarifa yanalenga…
RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK.HUSSEIN MWINYI ATOWA MKONO WA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU SHOMARI KHAMIS SHOMARI JANGOMBE UNGUJA LEO.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Familia ya Marehemu…
MHE.RAMADHAN SORAGA ATOA TAARUFA YA MAONESHO YA KAZI ZINAZOFANYWA NA TAASISI ZA SERIKALI NA BINAFSI
Waziri wa Nchi (OR) Kazi,uchumi na uwekezaji akitoa taarifa kuhusina na maonesho ya kazi zinazofanywa na taasisi za umma na binafsi kupitia magari. (PICHA…
OFISI YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA WASHERHEKEA MWAKA MPYA NA WATOTO WAISHIO KWENYE MAKAO
Na Elinipa Lupembe Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha, chini ya uongozi wa Mhe. John V.K Mongella, wameshehekea Sikukuu ya mwaka mpya na watoto…
SERIKALI INATHAMINI JUHUDI ZA TAASISI ZA KIDINI KUPELEKA HUDUMA KWA WANANCHI- DKT. BITEKO
*Afariji Wagonjwa Hospitali ya San Pio Bukombe – Geita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Serikali inathamini…
KATIBU WA SIASA NA UENEZI AWEKA KAMBI LUBONDE WILAYANI LUDEWA KUIMARISHA CHAMA NJOMBE
NJOMBE Katibu wa siasa na uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Njombe Josaya Luoga amesema kwamba chama kinaendelea kuwa bora na kutazamwa…