2024
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
BODI YA NYAMA YATOA MAFUNZO KANDA YA KASKAZINI, YAWAPA ANGALIZO WANAO CHEZA NA TASNIA YA NYAMA.
Na. Mwandishi wetu,Bodi ya Nyama Nchini-Arusha. Bodi ya Nyama nchini (TMB) imeendelea kutoa mafunzo kwa wadau wa Tasnia ya nyama kama inavyoekeleza sheria ya…
WAZIRI WA BIASHARA NA MAENDELEO YA VIWANDA AKAGUA ENEO LA MAONESHO YA BIASHARA NYAMANZI
NA SABIHA KHAMIS, MAELEZO. 03/01/2024 Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaaban amewataka wanahabari kutoa elimu kwa jamii ili…
MBUNGE KOKA AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA KIBAFA MICHUANO YA VIJANA UNDER 25
VICTOR MASANGU,KIBAHA KATIKA kuunga mkono juhudi za Rais wa awamu ya sita Dkt.Samia Suluhu Hassan katika kukuza sekta ya michezo Mbunge wa Jimbo la…
KAMATI YA BUNGE UTAWALA, KATIBA NA SHERIA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imeanza Vikao vyake leo tarehe 03 Januari 2024. Aidha Kamati hiyo pamoja na mambo…
WAZIRI ANGELLA KAIRUKI: MAENEO MAALUM YA UWEKEZAJI SWICA KUONGEZA WATALII NA MAPATO
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akizungumza wakati wa utiaji saini wa mikataba sita ya uwekezaji katika Maeneo Maalum ya Uwekezaji…
DIWANI KATA YA MSHEWA AMEISHUKURU SERIKALI KUWAJENGA MABWENI MAWILI KATIKA SHULE YA SEKONDARI KWIZU
Mhe Diwani wa kata ya mshewa Gaitan Mkwizu amesema wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Sekondari Kwizu kata ya Mshewa Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro wameondokana…
WATANZANIA JITOKEZENI KUTOA MAONI MISWADA YA SHERIA YA UCHAGUZI NA VYAMA VYA SIASA – DKT. BITEKO
* Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia *Ataka Wananchi kuchagua viongozi bora katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mbogwe, Geita…
CCM HATUNA SABABU YA KUTOMPA RAIS SAMIA AWAMU YA PILI-KINANA
*Ni baada ya Waziri Mkuu kuomba fomu ya urais iwe moja ya Dk Samia 2025. ……………………. MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania…