RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mkapa Foundation (BMF) Balozi Liberata Mulamula alipowasili katika viwanja jengo la Mkapa Foundation Kawe Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya uzinduzi wa Bodi mpya wa Taasisi hiyo uliofanyika leo 14-12-2024. Na (kulia kwake) Mama Anna Mkapa.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation (MBF) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mama Anna Mkapa alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya Taasisi hiyo Kawe Jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya uzinduzi wa Bodi mpya wa Taasisi hiyo uliofanyika leo 14-12-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuizundua Bodi Mpya ya Taasisi ya Benjam William Mkapa Foundation (BMF) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Jengo la Mkapa Foundation Kawe Jijini Dar es Salaam leo 14-12-2024, na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya (BMF) Balozi Liberata Mulamula na (kulia kwa Rais) Mtendaji Mkuu wa Taasisi hiyo Dr.Ellen M .Senkoro.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi nyenzo za kufanyika Kazi Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya BMF Balozi Liberata Mulamula, baada ya kuizindua Bodi hiyo hiyo leo 14-12-2024 katika ukumbi wa Jengo la Mkapa Foundation Kawe Jijini Dar es Salaam.(Picha na Ikulu)
WAGENI waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa Bodi Mpya ya Taasisi wa Benjamin William Mkapa (BMF) wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuizindua Taasisi hiyo uliyofanyika katika ukumbi wa jengo la Mkapa Foundation Kawe Jijini Dar es Salaam.(Picha na Ikulu)