JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA
MAREHEMU MHESHIMIWA DKT. FAUSTINE ENGELBERT NDUGULILE (31/03/1969 – 27/11/2024) RATIBA YA MAZISHI TAREHE 29 NOVEMBA HADI TAREHE 03 DISEMBA, 2024, DAR ES SALAAM
______________
RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU MHESHIMIWA
DKT. FAUSTINE ENGELBERT NDUGULILE
TAREHE 29 NOVEMBA HADI TAREHE 03 DISEMBA, 2024
29 NOVEMBA, 2024 (IJUMAA) | |||
MUDA | TUKIO | MAHALI | MHUSIKA |
6:35 Mchana | Mwili wa Marehemu kuwasili Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam kutokea India kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia na kupokelewa na: • Naibu Spika • Wajumbe wa Tume • Katibu wa Bunge • Wawakilishi wa Serikali • Wawakilishi wa Chama | Uwanja wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, Dar es Salaam | Mpambe wa Bunge/Kamati ya Mazishi |
Mwili wa Marehemu kupelekwa kuhifadhiwa Hospitali ya JWTZ, Lugalo | Mpambe wa Bunge/Kamati ya Mazishi | ||
30 NOVEMBA – 01 DISEMBA, 2024 (JUMAMOSI NA JUMAPILI) | |||
Maombolezo yanaendelea | Nyumbani kwa Marehemu | Kamati ya Mazishi | |
02 DISEMBA, 2024 (JUMATATU) | |||
12:40 – 1:15 Asubuhi | Mwili wa Marehemu kuelekea Kanisa la St. Immaculate – Upanga | Upanga | • Mpambe wa Bunge • Kamati ya Mazishi |
1:30 – 2:30 Asubuhi | Misa Takatifu | St. Immaculate – Upanga | • Familia • Kamati ya Mazishi |
2:00 – 3:00 Asubuhi | Viongozi na Wageni mbalimbali kuwasili: | Viwanja vya Karimjee | • Itifaki • Kamati ya Mazishi |
2
3:00 – 3:50 Asubuhi | • Waheshimiwa Wabunge Kuwasili • Waheshimiwa Mabalozi na Wakuu wa Taasisi za Kimataifa kuwasili • Mheshimiwa Spika kuwasili • Mheshimiwa Waziri Mkuu kuwasili • Mheshimiwa Rais kuwasili | Viwanja vya Karimjee | • Itifaki • Kamati ya Mazishi |
4:00 Asubuhi | Mwili wa Marehemu Mheshimiwa Dkt. Faustine Engelbert Ndugulile kuwasili | Viwanja vya Karimjee | • Mpambe wa Bunge • Itifaki • Kamati ya Mazishi • Familia |
4:00 – 4:20 Asubuhi | Sala/Dua fupi | Viwanja vya Karimjee | • Mshereheshaji • Viongozi wa Dini |
4:20 – 4:30 Asubuhi | Wasifu wa Marehemu | Viwanja vya Karimjee | • Mbunge atakayeteuliwa /Katibu wa Bunge |
4:30 – 4:35 Asubuhi | Neno kutoka kwa Watoto wa Marehemu | Viwanja vya Karimjee | • Watoto |
4:35 Asubuhi – 5:30 Mchana | SALAMU ZA POLE: • Chama cha Madaktari Wanafunzi Tanzania (TAMSA) • Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) • Washirika wa Maendeleo katika Masuala ya Afya • Mwakilishi wa Wabunge wa Dar es Salaam • Mwakilishi wa WHO • Mwakilishi wa CCM | Viwanja vya Karimjee | • Mshereheshaji |
3
• Mwakilishi wa Wabunge Walio Wachache • Mheshimiwa Waziri Mkuu • Mheshimiwa Spika • Mheshimiwa Rais • Neno la shukrani kutoka kwa Mwanafamilia | |||
6:30 – 8:00 Mchana | Mheshimiwa Rais kuwaongoza Viongozi na Wageni mbalimbali kutoa heshima za mwisho | Viwanja vya Karimjee | • Mpambe wa Bunge • Itifaki • Kamati ya Mazishi |
8:30 Mchana | Mwili wa Marehemu kuelekea Nyumbani kwa Marehemu | Kigamboni | • Mpambe wa Bunge • Kamati ya Mazishi |
3 DISEMBA 2024 (JUMANNE) | |||
2:00 Asubuhi | Mwili wa Marehemu kuelekea Viwanja vya Machava kwa ajili ya Wananchi kutoa heshima za mwisho | Kigamboni | DC/Mpambe wa Bunge/Kamati ya Mazishi |
8:00 Mchana | Mwili wa Marehemu kuelekea Kanisa la Bikira Maria Consolata kwa ajili ya Misa ya Mazishi | Kigamboni | Mpambe wa Bunge/Kamati ya Mazishi |
9:00 Alasiri | Msafara wa mwili wa Marehemu kuondoka kanisani kuelekea Makaburi ya Mwongozo | Kigamboni | • Mpambe wa Bunge • Itifaki • Kamati ya Mazishi |
9:30 – 11:30 Alasiri | Mazishi | Kigamboni | Familia/Mpambe wa Bunge/Kamati ya Mazishi |
MWISHO |
4