Waziri wa Viwanda na Biashara na Mbunge wa Jimbo la Kisarawe Mkoani Pwani Dkt. Selemani Saidi Jafo,akiwa katika foleni ya kupiga kura kwenye Kitongoji cha Kimani wilayani Kisarawe , kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji Novemba 27, 2024.

……
Waziri wa Viwanda na Biashara na Mbunge wa Jimbo la Kisarawe Mkoani Pwani Dkt. Selemani Saidi Jafo,leo Novemba 27,2024 ameungana na wananchi wa Kitongoji cha Kimani wilayani Kisarawe kupiga kura uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Dkt.Jafo ametoa shime kwa wananchi wa maeneo mengine kujitokeza kwenye uchaguzi huo kuchagua viongozi ngazi ya msingi watakaosaidiana nao bega kwa bega kwa ajili ya maendeleo ya Taifa.