Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya Ziara ya Kikazi Mkoani Arusha, leo tarehe 27 Novemba, 2024.
Viongozi wa dini, wadau wa utalii pamoja na wageni kutoka maeneo mbalimbali wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 27 Novemba, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa dini, wadau wa utalii pamoja na wageni mbalimbali waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tarehe 27 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na watoto wakati wa mapokezi yake katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tarehe 27 Novemba, 2024.