RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Rashid Hadid Rashid kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-11-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said. (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Mattar Zahor Masoud kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-11-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said. (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Sadifa Juma Khamis kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-11-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Rashid Simai Msaraka kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-11-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Khatib Juma Mjaja kuwa Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-11-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Mgeni Khatib Yahya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-11-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)