MLEZI wa CCM Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa,akisalimiana na wasanii wa kikundi cha utamaduni cha mkoa huo katika mapokezi yake mara baada ya kuwasili mkoni humo kupitia uwanja wa ndege wa Mkoa huo katika ziara yake ya kikazi.
MLEZI wa CCM Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa,akivishwa skafu na Vijana wa kundi maalum la UVCCM wa Mkoa huo katika mapokezi yake baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi leo tarehe 19/11/2024.
VIJANA wa kundi maalum la UVCCM Mkoa wa Katavi wakitoa salamu ya heshima kwa Mlezi wa Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa,aliwasili mkoani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi.
MLEZI wa CCM Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa,akiwa na wanachama,viongozi na watendaji wa mkoa wa Katavi akiondoka katika eneo la uwanja wa ndege kuendelea na ziara yake.
MLEZI wa CCM Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa,akizungumza na viongozi wa Mkoa wa Katavi baada ya kuwasili Mkoani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi ya kuimarisha Chama ikiwa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024.
(PICHA NA OFISI YA NAIBU KATIBU MKUU CCM ZANZIBAR).