Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Belarus nchini Tanzania Pavel Vziatkin, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam Oktoba 24. 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Belarus nchini Tanzania Pavel Vziatkin, kwenye Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam Oktoba 24. 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)