Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametembelea Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tabora na kuzungumza na Viongozi na Wanachama wa CCM kabla ya kuanza ziara yake ya kikazi katika Wilaya za Sikonge, Urambo na Kaliua leo tarehe 11 Oktoba 2024.
MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA OFISI ZA CCM TABORA
By Alex Sonna
October 11, 2024 | 7:26 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
36 minutes ago
RAIS SAMIA KUFANYA ZIARA YA SIKU 3 MKOANI ARUSHA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha leo. …………… Happy Lazaro,Arusha . Arusha.Rais wa Jamhuri…
Mchanganyiko
2 hours ago
WAZIRI MKUU ACHANGISHA BIL. 1.5 UJENZI OFISI YA BAKWATA TABORA
*Rais Samia achangia milioni 200, asifu mchango wa taasisi za dini katika maendeleo ya taifa. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanikisha kukusanya kiasi cha…






