wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt Zakia Mohamed Abubakar (kulia)
akiangalia mafunzo kwa vitendo yaliyokuwa yakifanywa na waandishi wasaidizi na
Waendesha vifaa vya Bayometriki (BVR) wakati alipotembelea mafunzo yao leo
Septemba 23, 2024 katika Shule ya Sekondari Mwanamwema Shein iliyopo Halmashauri
ya Wilaya ya Singioda Vijijini mkoani Singida. Mkoa wa Singida na Dodoma wanataraji
kuanza uboreshaji septemba 25 hadi Oktoba mosi mwaka huu.
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt Zakia Mohamed Abubakar (kushoto)

Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt Zakia Mohamed Abubakar (kulia) akiangalia mafunzo kwa vitendo yaliyokuwa yakifanywa na waandishi wasaidizi na Waendesha vifaa vya Bayometriki (BVR) wakati alipotembelea mafunzo yao leo Septemba 23, 2024 katika Shule ya Sekondari Mwenge iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Singida mkoani Singida. Mkoa wa Singida na Dodoma wanataraji kuanza uboreshaji septemba 25 hadi Oktoba mosi mwaka huu.
Sehemu ya washiriki wa mafunzo ya Waandishi wa Saidizi na Waendesha vifaa vya Bayometric (BVR) wakila kiapo cha kujitoa uanachama na kiapo cha kutunza siri muda wote wa utekelezaji wa majukumu yao.