Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) leo tarehe
10.9.2024, limetoa elimu ya ulinzi, usalama na utunzaji wa mzingira ya
usafiri majini kwa wadau mbalimbali wa usafiri majini katika kisiwa cha
Ukara, wilayani Ukerewe.

Elimu hiyo imehusisha wadau mbalimbali ikiwa ni
pamoja na wasafiri na wasafirishaji, wamiliki wa vyombo vya usafiri
majini, viongozi wa serikali za Kijiji na wananchi kwa ujumla.

Akizungumza
katika mkutano huo wa hadhara uliofanyika katika mwalo wa Bukungu Naho.
Michael Rogers amesema ”kila mmoja ni balozi wa usalama wa vyombo vya
usafiri majini hivyo hatuna budi kuhakikisha vyombo vinakidhi viwango na
kuhakikisha vinakuwa na leseni kwa mujibu wa sheria na kupunguza ajali
za mara kwa mara kwa kuvaa vifaa vya kujiokolea kwani kila mmoja wetu ni
muhimu kwa jamii na taifa kwa ujumla”

Aidha,
wananchi wa Ukerewe katika mialo iliyotembelewa na TASAC wamepongeza na
kushukuru juhudi za utoaji elimu na kuomba Shirika kuendelea kufanya
hivo mara kwa mara ili kuongeza uelewa mpana kwa wananchi juu ya sekta
ya usafiri majini.

Zoezi hili la utoaji elimu limeanza Septemba 9 na litafikia tamati Septemba 13,2024.