Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihudhuria sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, tarehe 11 Agosti, 2024.