Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (MB) kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 6(2)(a-g) cha Amri ya Uanzishwaji wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi ya Mwaka 2013, iliyofanyiwa Marekebisho Mwaka 2023, amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi;
i) Bw. Omar Issa-Mwenyekiti
ii) Dkt.Prosper Mbowe Kilamuu-Katibu
iii) Dkt. John Marato Sausi-Mjumbe
iv) SACP Selemani Enock Nyakulinga-Mjumbe
v) SACP(Rtd) John Francis Massawe-Mjumbe
vi) ACP Moses Yuda Luvinga-Mjumbe
vii) Bw. Nyaswa Kalomo Machibya-Mjumbe
viii)Bw. Arafat Ali Haji-Mjumbe
ix) Bw. Idd Rashid Kilima-Mjumbe
Uteuzi huu umeanza rasmi tarehe 28 Julai,2024.
Imetolewa na;
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI