Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Juni, 2024 kuhusu Ziara Rasmi ya Kikazi aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei, 2024 hadi tarehe 05 Juni, 2024.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Natu El-Maamry Mwamba akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Juni, 2024 kuhusu Ziara Rasmi ya Kikazi aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei, 2024 hadi tarehe 05 Juni, 2024.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Zanzibar, Fedha na Mipango Dkt. Saada Mkuya akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Juni, 2024 kuhusu Ziara Rasmi ya Kikazi aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei, 2024 hadi tarehe 05 Juni, 2024.
Baadhi ya Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali wakiuliza maswali kwenye Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Juni, 2024 kuhusu Ziara Rasmi ya Kikazi aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei, 2024 hadi tarehe 05 Juni, 2024.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Juni, 2024 kuhusu Mafanikio yaliyopatikana kufuatia Ziara Rasmi ya Kikazi aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei, 2024 hadi tarehe 05 Juni, 2024.
Mtayarishaji wa Filamu Leah Lamata akizungumza kuhusu Mafanikio waliyoyapata kwenye ziara Rasmi ya Kikazi aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei, 2024 hadi tarehe 05 Juni, 2024.
Zahoro Muhaji kutoka Tanzania Start-up Association akizungumza kuhusu Mafanikio waliyoyapata kwenye ziara Rasmi ya Kikazi aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei, 2024 hadi tarehe 05 Juni, 2024.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba akiteta jambo na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye wakati wa mkutano wa Waandishi wa Habari uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Juni, 2024.
MATUKIO ZAIDI KUHUSU MKUTANO WA MKURUGENZI WA MAWASILIANO YA RAIS IKULU NA WAANDISHI WA HABARI
