Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Kampuni ya Gesi ya Korea (KOGAS) Bi. Yeon-Hye Choi kabla ya kuanza mazungumzo yao Jijini Seoul Jamhuri ya Korea.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni ya Gesi ya Korea (KOGAS) ulioongozwa na Rais wa Kampuni hiyo Bi. Yeon-Hye Choi  Jijini Seoul Jamhuri ya Korea.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kampuni ya Gesi ya Korea (KOGAS) Bi. Yeon-Hye Choi  mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Jijini Seoul Jamhuri ya Korea.