RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe.Toni Tinnes alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-5-2024 kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe.Toni Tinnes, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe.Toni Tinnes, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 30-5-2024.(Picha na Ikulu)