Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha Mafunzo kwa Wajumbe wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uhamiaji ambayo ushughulika na masuala mbalimbali ikiwemo Mashauri ya Kinidhamu, Upandishaji Vyeo kwa watumishi wa vyombo vilivyopo chini ya wizara hiyo, ufunguzi huo umefanyika Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jijini Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Miriam Mmbaga akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha Mafunzo kwa Wajumbe wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uhamiaji ambayo ushughulika na masuala mbalimbali ikiwemo Mashauri ya Kinidhamu, Upandishaji Vyeo kwa watumishi wa vyombo vilivyopo chini ya wizara hiyo, ufunguzi huo umefanyika Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jijini Dodoma.Kulia ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo,Ally Senga Gugu. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala na Rasilimaliwatu, George Mwansasu akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha Mafunzo kwa Wajumbe wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uhamiaji ambayo ushughulika na masuala mbalimbali ikiwemo Mashauri ya Kinidhamu, Upandishaji Vyeo kwa watumishi wa vyombo vilivyopo chini ya wizara hiyo, ufunguzi huo umefanyika Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jijini Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mkurugenzi Msaidizi wa Sheria wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uhamiaji ambayo ushughulika na masuala mbalimbali ikiwemo Mashauri ya Kinidhamu, Upandishaji Vyeo kwa watumishi wa vyombo vilivyopo chini ya wizara hiyo,Numbilya Mpollo akizungumza wakati wa kikao cha mafunzo kwa wajumbe wa tume hiyo.Kikao hicho kimefanyika Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jijini Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kaimu Mkurugenzi wa Sheria Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Flora Mrope akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha Mafunzo kwa Wajumbe wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uhamiaji ambayo ushughulika na masuala mbalimbali ikiwemo Mashauri ya Kinidhamu, Upandishaji Vyeo kwa watumishi wa vyombo vilivyopo chini ya wizara hiyo, ufunguzi huo umefanyika Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jijini Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kamishna Msaidizi wa Uhamiaji,Bahati Mweifuge akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha Mafunzo kwa Wajumbe wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uhamiaji ambayo ushughulika na masuala mbalimbali ikiwemo Mashauri ya Kinidhamu, Upandishaji Vyeo kwa watumishi wa vyombo vilivyopo chini ya wizara hiyo, ufunguzi huo umefanyika Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jijini Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi