Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mgeni Hassan Juma Katikati akiingia katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi ili kuendesha Kikao cha Pili cha Baraza ikiwa ni Mkutano wa Kumi na Tano ulioanza 15/04/2024 Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera Uratibu na Baraza la Wawakilishi Hamza Hassan Juma akijibu maswali katika Kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea Mbweni Magharibi B Unguja.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala bora Mwl,Haroun Ali Suleiman akijibu maswali katika Kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea Mbweni Magharibi B Unguja.
Baadhi ya Wananchi na Wafanyakazi mbalimbali wakifatilia Maswali na Majibu na Uwasilishaji wa Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais katika Kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea Chukwani Magharibi B Unguja.

Waziri wa Biashara na Mendeleo ya Viwanda Omar Said Shaabani akifafanua jambo wakati akijibu maswali katika Kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea Mbweni Magharibi B Unguja.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Abdulgulam Hussein akibadilishana mawazo na baadhi ya Wafanyakazi wa Baraza la Wawakilishi nje ya Ukumbi wa Baraza hilo Mbweni Magharibi B Unguja.
Muakilishi wa Jimbo la Mfenesini Machano Othman Said akibadilishana mawazo na baadhi ya Wafanyakazi nje ya Baraza la Wawakilishi Mbweni Magharibi B Zanzibar.