Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofungua Warsha ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa kuhusu Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai kwenye ukumbi wa mikutano wa Tume Huru ya Uchaguzi , Njedengwa jijini Dodoma, Mei 6, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Kuandaa Mkakati wa Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai, Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed Othman Chande alipowasili kwenye viwanja vya Ofisi za Tume Huru ya Uchauzi, Njedengwa jijini Dodoma, kufungua Warsha ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa kuhusu Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai, Mei 6, 2024. Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEM, Dkt. Festo Dugange na wa pili kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kuandaa Mkakati wa Utekelezaji wa Mapendekezo Tume ya Haki Jinai, Balozi Ombeni Sefue. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba baada ya kufungua Warsha ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa kuhusu Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai kwenye ukumbi wa mikutano wa Tume Huru ya Uchaguzi , Njedengwa jijini Dodoma, Mei 6, 2024. Katikati ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kuandaa Mkakati wa Utekelezaji wa Mapendekezo Tume ya Haki Jinai, Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed Othman Chande. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mwenyekiti wa Kamati ya Kuandaa Mkakati wa Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai, Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed Othman Chande alipofungua Warsha ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa kuhusu Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai kwenye ukumbi wa mikutano wa Tume Huru ya Uchaguzi , Njedengwa jijini Dodoma, Mei 6, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)