Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.
Dkt. Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya
Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja mara baada ya hafla ya
uapisho wa viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam leo Aprili 04,
2024. Mhandisi Luhemeja alihamishiwa Ofisi ya Makamu wa Rais
akitokea Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.
Dkt. Selemani Jafo (wa pili kulia) akishiriki hafla ya uapisho wa viongozi
mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam leo Aprili 04, 2024.