Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amekutana na kuzungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Col. Evans Mtambi pamoja na Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mapema leo tarehe 04.04.2024.