Mtoto wa Familia ya Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Abdalla Said Natepe Ali Abdalla Natepe akitoa neno la Shukurani Baada ya kumalizika kwa Dua Maalum ya kumuombea marehemu Ikiwa ni katika Madhimisho ya Wiki ya Kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa,Waasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Katibu wa kwanza wa Chama cha Afro Shirazi na Siku ya kumbukumbu ya Marehemu Sheikh Abeid Amani karume hafla iliofanyika kijiji cha Mwache alale Magharibi A Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Ali Suleiman Mrembo katikati akiwa pamoja na Viongozi mbali mbali katika Dua ya kumuombea Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Abdalla Said Natepe katika Madhimisho ya Wiki ya Kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa,Waasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Katibu wa kwanza wa Chama cha Afro Shirazi na Siku ya kumbukumbu ya Marehemu Sheikh Abeid Amani karume hafla iliofanyika kijiji cha Mwache alale Magharibi A Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Ali Suleiman Mrembo akisalimiana na Viongozi na wana familia mara alipowasili katika Dua ya kumuombea Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Abdalla Said Natepe katika Madhimisho ya Wiki ya Kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa,Waasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Katibu wa kwanza wa Chama cha Afro Shirazi na Siku ya kumbukumbu ya Marehemu Sheikh Abeid Amani karume hafla iliofanyika kijiji cha Mwache alale Magharibi A Zanzibar.